EAT AND LIVE HEALTHY::NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)

Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatani...

TRA Yakusanya Bilioni 5 za Kodi ya Makontena 329....Wafanyakazi 35 Wasimamishwa Kazi

BAADA ya Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kufanya ziara ya kushitukiza katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubaini upotevu wa Makon...

Hotuba Nzima ya Raisi Magufuli Alipokutana na Wafanya Biashara Ikulu Jana Iko hapa

Hotuba

TAZARA Yapokea Mabehewa 18 na Vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Ka...

Waziri Mkuu Avamia tena Bandarini...Akuta Makontena 2431 Yametoka Bila Kulipiwa Kodi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa m...

Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Raisi Magufuli, Ikulu Jijini Dar es salaam

Raisi wajamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifulahia jambo na makamu wa pili wa Raisi wa Serikali ya  Map...

Prof. Lipumba na wafuasi wake 30 Waachiwa Huru na Mahakama Ya Kisutu

PROF. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ameachiwa huru na mahakama ya Hakim Mkazi, jijini Dar es Salaa...

Gesi Inayozalishwa MADIMBA Mtwara Yatumika Chini ya Uzalishaji wake

Serikali imeshauriwa kuharakishakuongeza uzalishaji katika mitambo ya kuchakata na kusambaza gesi ya MADIMBA mkoani MTWARA ili wananchi...

Rais Dkt. Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepa kodi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt.John  Pombe  Magufuli amewapa siku saba kuanzia tarehe 03/12/2015 wafanyabiashara wote ambao wa...

TRL walipewa bil 13 ila miundo mbinu haikujengwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya kushtukiza leo Shirika la reli, amezungumza na Mkurugenzi Mkuu TRL, Mhandisi Elias Msha...

Bank of China faces daily fine in US

The Bank of China will face a daily fine in the US unless it complies with a court request to give details of customers accused of sellin...

Taarifa Kwa Umma Toka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Magazeti ya Leo Alhamisi Tarehe 3 Disemba 2015

Gary Neville ateuliwa kuwa kocha mkuu wa Valencia

Beki wa zamani wa Manchester United na kocha wa kikosi cha kwanza cha timu ya taifa Wingereza, Gary Neville ameteuliwa kuwa kocha mku...

Taarifa Kwa Wananchi Wote Kuhusu Majina Sahihi Ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa (Pichani) anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim Majaliwa Majaliwa a...

Baraza la Mawaziri la Magufuli ni Balaa......Yadaiwa Kila Waziri Atatia Saini Kukubali Masharti Yaliyowekwa na Magufuli

Kusuasua kwa Rais John Magufuli, kutangaza Baraza la Mawaziri kunatokana na msimamo wake wa kuwachambua watu anaotarajia kuteua kati...

index