Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Amwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutani wa 5 wa Wakuu wa nchi za Afrika na China, Jijini JOHANNESBURG
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mk...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/12/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-hassan.html
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa
Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum)
uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais
Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini Johannesburg jana Desemba 3, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano huo kutoka nchi
mbalimbali za Afrika waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo leo jijini
Johannesburg.


