Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Amwakilisha Rais Magufuli kwenye Mkutani wa 5 wa Wakuu wa nchi za Afrika na China, Jijini JOHANNESBURG

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mk...

Bank of China faces daily fine in US

The Bank of China will face a daily fine in the US unless it complies with a court request to give details of customers accused of sellin...

Maelfu wahudhuria misa ya Papa Uganda

Papa Francis amesheherekea misa mbele ya umati mkubwa katika eneo moja takatifu nje ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Mamia ya maelfu ...

Maagizo ya Raisi Magufuli kuhusu Safari za Nje za Watendaji wa Serikali Yaanza Kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safa...

Ban Ki Moon Amtimua Kazi Afisa wa UN kutoka Afrika ya Kati

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon, amesema amemfukuza mkuu wa kulinda amani toka UN nchini Afrika ya kati baada ya kutuhumiwa kuhu...

Kagame Njia iko Wazi Kugombea Muhula wa Tatu wa Uraisi Rwanda: Watu 10 tu wapinga

Gazeti la New Times lililo karibu na serikali linasema kati ya watu milioni mbili walioshauriwa kuhusu kufanyia katiba mageuzi ni watu kumi ...

Usipitwe:NEC yatoa Ratiba kamili ya Kuhakiki Majina ya Waliojiandikisha kupiga Kura

Tume y Taifa ya Uchaguzi imeendelea kufanya kazi nzuri kwa kuhakikisha kila mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura anaipata haki yake hiyo ya ...

Cristian Ronaldo atakua fiti kabla ya Ligi kuanza mwezi Ujao: Asema Rafael Benitez

Mchezaji huyo wa kimataifa hakuweza kuambatana na timu yake ya Real Madrid kushiriki kombe la Audi wiki hii Lakini kocha Rafael Benitez anaa...

Bale Atamani namba nyingine Real Madrid

Bale alicheza fowadi wa kati juzi Jumanne kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya timu yake ya zamani ya Tottenham Hotspur na kufunga bao katika m...

Umeiona Picha ya Magufuli Miaka 40 iliyopita ? Iko hapa

Alizaliwa mwaka  October 29 1959  kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia n...

Lowassa anene Baada ya Prof. Lipumba kujiuzulu Uwenyekiti wa CUF

Baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa uenyekiti katika Chama cha Wananchi, mgombea urais kwa tiketi ya Chadema (Uk...

index