TAZARA Yapokea Mabehewa 18 na Vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Ka...



Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.

Moja ya mabehewa mapya.

Related

Siasa 1059140917245431383

Post a Comment

emo-but-icon

item