Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Raisi Magufuli, Ikulu Jijini Dar es salaam
Raisi wajamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifulahia jambo na makamu wa pili wa Raisi wa Serikali ya Map...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/12/balozi-seif-ali-iddi-amtembelea-raisi.html
Raisi
wajamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifulahia
jambo na makamu wa pili wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Idd
Aliyefika Ikulu kwa ajiri ya Mazungumzo
Rais
wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na
Makamu wa Pili wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara
baada ya kufanya nae mazungumzo ikulu jijini Dar es salaam