EAT AND LIVE HEALTHY::NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)

Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatani...

Baraza la Mawaziri la Magufuli ni Balaa......Yadaiwa Kila Waziri Atatia Saini Kukubali Masharti Yaliyowekwa na Magufuli

Kusuasua kwa Rais John Magufuli, kutangaza Baraza la Mawaziri kunatokana na msimamo wake wa kuwachambua watu anaotarajia kuteua kati...

Maamuzi Mapya ya Rais Magufuli Kuhusu Serikali Kupunguza Matumizi ya Fedha Ikiwemo za Kalenda na Diarie

Taarifa zaidi bofya hapo chini

Waraka wa Kufuta Ada Elimu ya Sekondari ( Kidato cha 1 Hadi 4) na Michango yote Elimu ya Msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimumsingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne,kuanzia mwaka wa masomo wa 2016. ...

Madiwani Wanne Chadema Wajitokeza Kugombea Umeya Kinondon

Madiwani wanne wa Chadema Manispaa ya Kinondoni wamejitokeza kuwania umeya. Madiwani hao ni Boniface Jacob (Ubungo), Pascal Manota (Ki...

Zitto Aendelea Kuandamwa Zanzibar...Apewa Siku 14 Kuomba Radhi

Mbunge wa Kigoma Mjini  kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo,  Zitto Kabwe, amepewa siku 14 kufuta kauli yake na kuomba radhi kwa kumh...

Wito Kenya :Nairobians, Allow Your 'Inner Magufuli' to Act

By James Murua Something very special is happening in Tanzania after their most recent election. Our Southern neighbour got a new presi...

Mkapa Amsifu Kikwete kwa UDOM

Raisi Mstaafu Mhe, Kikwete alipotemebelea Kituo cha Sayansi UDOM RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amepongeza jitihada za...

Maelfu Wauaga Mwili wa Mawazo Mwanza

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mh. Edward Lowassa akitoa h...

Watumishi wengine watatu wa TRA wasimamishwa kazi

Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa hii leo amewasimamisha kazi watumishi wengine watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TR...

Majipu Matano Sugu Ambayo Rais Magufuli Anatakiwa Kuyatumbua

Wasomi, wanasiasa na watu kutoka makundi mengine ya jamii wamesema Rais John Magufuli atapimwa katika miaka mitano ijayo kwa mambo m...

Mkurugenzi Bunge afariki dunia

 Mkurugenzi Msaidizi wa Shughuli za Bunge, Hellen Mbeba (36) amefariki dunia ghafla wakati akiwahishwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ...

Maagizo ya Raisi Magufuli kuhusu Safari za Nje za Watendaji wa Serikali Yaanza Kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safa...

Kasi ya Magufuli Yazidi Kuwaweka Watendaji roho juu

Katika kile kinachoonekana ni kutaka kwenda na kasi ya rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Rada...

Biashara ya Dawa Maduka ya Muhimbili Yavurugwa

BIASHARA ya maduka ya dawa baridi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeingia shubiri, huku maduka mengine katika hospitali za Seri...

index