EAT AND LIVE HEALTHY::NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)
Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatani...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/12/eat-and-live-healthynjia-saba-za.html
Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya
watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatania
wenzenu wanaokoroma sio issue.Ila snoring ina BOAA
”Wale wa ndani ya ndoa huwa yaleta vijiproblems maana waweza
usiweze kulala kabisa kama mwenzio anakoroma na wengine huwa wana hama hadi
vyumba si mchezo .
Sio tu kukoroma kuna boa ila asilimia 75 ya watu wanaokoroma
wana kitu kinaitwa obstructive sleep apnea (jina la kitaalamu)hii ni il
uhemaji unakuwa disrupted wakati wa kulala na hua ina increase the risk ya
kudevelop heart disease.
Kuna wanaoenda hospital kucheki na madaktari ila kuna
hizi natural solutions and lifestyle changes ambazo unaweza kutumia
ikasaidia ku stop snoring.
1. CHANGE YOUR SLEEP POSITION/BADILI
POZI LAKO LA KULALA
Jitahidi kulala kwa ubavu kwasababu kulala kwa mgongo kunafanya
the base ya ulimi wako na ile soft palate kuangukia kwenye ukuta wa koo lako
which inasababisha kuwe na vibrating sound wakati ukalala hence unakoroma , so
kulala kwa ubavu itasaidia.
2. PUNGUZA UZITO /LOSE WEIGHT
Kupunguza
uzito kunasaidia ila kuna watu wembamba na wanakoroma ,kama umeongezeka uzito
na ukaanza kukoroma na hukua unakoroma kabla ya kuongezeka uzito basi
weightlooss itakuasaidi.Kama umeongezeka weight around shingoni hii ina squeeze
the internal diaeter ya koo lako inayofanya inaanguka wakati wa kulala na
kusababaisha mtu kukoroma.
3. EPUKA UNYAWAJI POMBE/AVOID ALCOHOL.
Alcohol
na sedatives/tranquilizer inapunguza ile resting tone ya mishipa nyuma ya koo
lako ambapo mwisho wa siku ndo unakoroma.Pia kunywa pombe masaa manne mpaka
matano kabla ya kulala kunafanya snoring to be worse.Watu ambao huwa hawakoromi
basi wakinywa pombe huwa wengi wao wanakoroma .
4. KUWA NA TABIA YA KULALA UKIWA MSAFI/SEHEMU
SAFI/PRACTICE GOOD SLEEP HYGIENE.
Poor
sleep habits ina effect sawa na unywaji wa pombe ,kufanya kazi kwa masaa mengi
bila kulala basi ukapata chance ya kulala unalala ukiwa umechoka sana.Na
unalala very deep inayofanya mishipa kuwa floppier na kukufanya ukorome.
credit:8020fashionblog




