Umeiona Picha ya Magufuli Miaka 40 iliyopita ? Iko hapa

Alizaliwa mwaka  October 29 1959  kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia n...

Alizaliwa mwaka October 29 1959 kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia naibu waziri wa kazi na leo hii ndiye mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?

Related

Uchaguzi Mkuu 2015 5577901828635728361

Post a Comment

emo-but-icon

item