Rais Magufuli Akutana na Mabolozi Wa China na Korea Kusini

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Korea hapa nchini  he. Chung IL , Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 3...


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Korea hapa nchini he. Chung IL, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.



Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea ya Kusini hapa nchini Mhe. Chung IL, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.



Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing, Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 30, 2015.




Related

Kitaifa 3867503187456680936

Post a Comment

emo-but-icon

item