Habari: Kadi za Sikukuu kwa Fedha za Serikali, Zapigwa Marufuku
Balozi Ombeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku uchapishaji na utengenezaji wa kadi za Christmas na Mwa...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/11/habari-kadi-za-sikukuu-kwa-fedha-za.html
![]() |
| Balozi Ombeni Sefue |
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga
marufuku uchapishaji na utengenezaji wa kadi za Christmas na Mwaka Mpya kwa
gharama za serikali na fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji wa kadi hizo,
ameagiza zitumike katika matumizi mengine ya kipaumbele
Balozi Sefue amesema mtu yoyote anayetaka kuchapisha au kutengeneza kadi hizo afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe na asitumie fedha ya serikali.
Balozi Sefue amesema mtu yoyote anayetaka kuchapisha au kutengeneza kadi hizo afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe na asitumie fedha ya serikali.