Mgombea udiwani kata ya Mbagala Kuu (CCM) Yusuf Manji azindua kampeni zake Dar

Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo Mg...

Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo


Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam jana jioni.

Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia, akihutubia katika uzinduzi huo

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega akihutubia kwenye uzinduzi huo


Makada wa CCM wakiserebuka

Umati ukimsikiliza Yusuf Manji

usuf Manji (kulia) akifuatilia matukio mbalimbali kwenye uzinduzi huo.



  




Related

Habari Mpya 1555536922716054451

Post a Comment

emo-but-icon

item