Manji Ashinda Tuzo ya Viongozi wa Biashara Afrika....Ampiku Bilionea wa Afrika Aliko Dangote na wengine
MWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrik...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/09/manji-ashinda-tuzo-ya-viongozi-wa.html
MWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group Limited,
Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa
biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga,
aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja
Afrika, Aliko Dangote wa Nigeria, pamoja na wengine wengi.
Watanzania wote wanajivunia tuzo hili kwani litawasaidia
kupata fursa kubwa za kibiashara ndani na nje ya Tanzania.
