Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Akutana na Raisi Obama
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za ut...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/09/balozi-wa-tanzania-nchini-marekani.html
Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara
baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC
siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.
Mhe. Wilson
Masilingi Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara
baada ya kukabidhi hati za utambulisho Ikulu ya Marekani (White
House) siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015. Kutoka kushoto ni
Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama,
Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.
Wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania Nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Wilson Masilingi
na familia yake mara baada ya kurudi nyumbani kwake Bethesda, Maryland
alipotoka kukabidhi hati za Utambulisho kwa Rais Barack Obama siku ya
Alhamisi Septemba 17, 2015.


