Video ya Hotuba Nzima ya Raisi Magufuli Akihutubia Bunge Jana
Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo. Marais Wastaafu, kutoka kushoto ni Al...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/11/video-ya-hotuba-nzima-ya-raisi-magufuli.html
Rais Dk. John Magufuli
akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo.
Marais Wastaafu, kutoka
kushoto ni Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu
wa Zanzibar,Amani Karume.
Rais wa Zanzibar
akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu
alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi
Video ya Hotuba Nzima ya Raisi Magufuli Akihutubia Bunge Jana
