Tukio zima la Prof Lipumba Alivyotembelea Ikulu Leo na Kuzungumza na Raisi Magufuli liko hapa

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John...


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba amemtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli na kumpongeza kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa Serikali ya Awamu ya Tano.

Pia Prof Lipumba amesifu na kuunga mkono Juhudi za Mhe Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi


.

Prof Lipumba Akimpongeza Mhe. Raisi Magufuli

Related

Kitaifa 5918494030055506791

Post a Comment

emo-but-icon

item