Dk Magufuli atoa mpya tena afanya mazoezi ya nguvu jukwaani Makambako
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akifanya mazoezi jukwaani akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa Makamb...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/09/dk-magufuli-atoa-mpya-tena-afanya.html
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
akifanya mazoezi jukwaani akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa
Makambako, mkoani Njombe leo, jambo ambalo lilizua vifijo, nderemo
na vigelegele kutoka kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa
kampeni.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi kwa kuwaomba ifikapo Oktoba 25, mwaka huu wakati wa Uchaguzi Mkuu, waende wote kumpigia kura za ndiyo ili ashinde kwa kishindo urais