Hongera Kwa Mlioipata Hii Ofa Maalum kutoka Vodacom Tsh 200/= dk100 ,sms1000, MB100 kwa siku 7

Ushindakani katika makampuni ya mawasiliano umezidi kuongezeka kitu ambacho kimechangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa gharama za mawasilion...

Ushindakani katika makampuni ya mawasiliano umezidi kuongezeka kitu ambacho kimechangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa gharama za mawasiliono ukilinganisha na ilivyoku miaka ya nyuma

Kuna Special Offer kutoka Vodacom nilipata taarifa zake , ukitaka kujiunga na hii ofa

unapiga *149*68#

Nilivyo jaribu kwenye simu yangu sikufanikiwa nilipouliza nikaambiwa kua watu wanaoweza kujiunga na ofa hiyo ni wale tu walio pokea ujumbe mfupi(sms) wa ofa hiyo kutoka Vodacom..

Kama wewe ni miongoni ambao mmepata ofa hiyo Hongera.  Kazi ni Kwako


Related

Kitaifa 9090639856906909038

Post a Comment

emo-but-icon

item