Mchoraji FEDE na Katuni zake zilizosheheni Ujumbe

FEDE ni nani nilijiuliza baada ya kukutana na  moja ya Katuni zake mtandaoni .FEDE ni sahihi ambayo anaitumia ndugu Nestory Fedeliko kwenye ...

FEDE ni nani nilijiuliza baada ya kukutana na  moja ya Katuni zake mtandaoni .FEDE ni sahihi ambayo anaitumia ndugu Nestory Fedeliko kwenye katuni zake

 Baada ya kutafuta  mtandaoni nilikutana na blogu yake ambayo imejaa katuni zenye ubunifu mkubwa.

Kazi ya sanaa inahitaji kipaji, umakini na ubunifu mkubwa ili kuweza kufikisha ujumbe jinsi ipasavyo. vitu ambavyo  FEDE anavyo
.
Anachofanya

Katunisti FEDE  anashughulika na:-
Cartoons + illustrations
motion + Graphics Design
2D + 3D Animation
Video and Film
Pia Unaweza kujipatia T-shirts Kali

Kwa mawasiliano nae tembelea www.artsfede.blogspot.com


Baadhi ya Kazi zake















Related

Uchaguzi Mkuu 2015 1186834706939895613

Post a Comment

emo-but-icon

Hot in week

Recent

Comments

Side Ads

Text Widget

Connect Us

item