POP UP SHOP Yanogesha Maandalizi ya Swahili Fashion Week chini ya Vodacom
Francisca Mawala (kushoto) akipatiwa maelekezo na Mwanamitindo wa kampuni ya Manyatta inayojishughulisha na masuala ya mitindo,Anthonia...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/11/pop-up-shop-yanogesha-maandalizi-ya.html
Francisca Mawala (kushoto)
akipatiwa maelekezo na Mwanamitindo wa kampuni ya Manyatta inayojishughulisha
na masuala ya mitindo,Anthonia Kilame( kulia) wakati alipokuwa akichagua moja
ya bidhaa katika Maonesho yaliojulikana kama” Pop Up Shop”yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi
kwa wanamitindo nchini katika kuelekea Onesho la Swahili Fashion week
litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania( katikati
ni mbunifu wa bidhaa hizo Nancy Bondo)
Mwanamitindo atakaye
shiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Nancy Bondo (kulia) akimvisha
shanga ya shingoni mteja wake Francisca Mawala,mara baada ya kuinunua wakati wa
maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya
Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea
Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 2015 na kudhaminiwa
na Vodacom Tanzania.
Mwanamitindo atakaye shiriki
kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, Anthonia Kilame (kulia) akimuonyesha
mmoja wa wateja wake waliofika kwenye maonesho ya ” Pop Up Shop”yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini ikiwa ni maandalizi
kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili Fashion week litakalofanyika
Disemba 4-6 2015 chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Mmoja wa wanamitindo
nchini alitakayeshiriki kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week, akimuonyesha
mmoja wa wateja mwamvuli alioutengenza kwa kitenge aliyefika kwenye maonesho ya
” Pop Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali
nchini ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea Onesho la Swahili
Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Stella
Rwechungura(kulia)akichagua sketi iliyoshonwa kwa kutumia kitenge na Mbunifu wa
nguo hizo Evamary Sospeter(kushoto) wakati wa Maonesho yaliojulikana kama” Pop
Up Shop”yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika makazi ya Balozi wa Itali nchini
ikiwa ni maandalizi kwa wanamitindo nchini kuelekea kwenye Onesho la Swahili
Fashion week litakalofanyika Disemba 4-6 na kudhamini na Vodacom Tanzania.




