UKAWA Mbeya : Lowassa Wembe ni ule ule
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA ambaye anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ameendelea kupata mapokezi mazuri akiwa ni ...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/08/ukawa-mbeya-lowassa-wembe-ni-ule-ule.html
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA ambaye anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA ameendelea kupata mapokezi mazuri akiwa ni siku chache tangu achukue fomu ya kuwania uraisi .Leo UKAWA ilifanya mkutano wa kumtambulisha rasmi ndugu Edward lowassa kwa wakazi wa mbeya
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO HUO
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO HUO






