Mgombea wa Chama Cha Wakulima Achukua Fomu ya Uraisi

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na  Raisi  2015 Afisa uchaguzi mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabizi mgombea uraisi wa Jam...

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na  Raisi  2015


Afisa uchaguzi mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabizi mgombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutpitia chama cha wakulima(AFP) Mhe. Omari Mohamed Sombi leo katifa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Dar es salaam
Mhe. Sombi akisimsikiliza Afisa wa Tume ya Uchaguzi




Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Omari Mohamed Sombi akionesha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa waandishi wa habari mara  baada ya kutoka kuchukua fomu hiyo katika  ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dar es salaam

Related

Uchaguzi Mkuu 2015 9010709447433132045

Post a Comment

emo-but-icon

item