Lowassa kuchukua form ya Urais NEC jumatatu tarehe 10

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA Edward L...

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA
Edward Lowassa Mgombea wa Uraisi Ukawa kupitia tiketi ya CHADEMA



Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Makutano yataanza Makao makuu ya CUF Ilala saa 3 asubuhi kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kumalizia Makao Makuu ya CHADEMA kinondoni.

Akiongea na waandishi wa habari kwa kuwawakilisha makatibu wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA (katikati) ni Salum Mwalim aliyekaimu nafasi ya katibu mkuu CHADEMA (kulia kwake)Frorian R Mbeo mwakilishi wa katibu Mkuu wa NCCR (kushoto kwake)Tozzi Matwanga katibu mkuu NLD.

Juma Haji Duni mgombea mwenza UKAWA
Tunawaoba watanzania wapenda mabadiliko kujitokeza kwa wingi.

Related

Uchaguzi Mkuu 2015 7374104620362138251

Post a Comment

emo-but-icon

item