Kikwete na Lowassa Uso kwa uso Moshi

Moshi. Sasa ni dhahiri kuwa mazishi ya mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo yanayofanyika leo yatamkutanisha kwa mara ya kwanza, Rais Jak...

Moshi. Sasa ni dhahiri kuwa mazishi ya mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo yanayofanyika leo yatamkutanisha kwa mara ya kwanza, Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa tangu waziri huyo mkuu wa zamani ajiondoe CCM na kujiunga na Chadema.

Kutoka kushoto ni Rais Jakaya Kikwete akiwa na aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.



Mh Edward Lowassa Akiwa Safarini kuelekea msibani leo.

Kwa ajili ya sabau za kiusalama Polisi wamezuia baadhi ya magari na bodaboda yaliyokua yameambatana na lowassa na kuruhusu magari machache tu

Rais Jakaya Kikwete ambaye alikua karibu sana na mwanasiasa huyo mkongwe, ataongoza viongozi wengine wa serikali na kisiasa kutoa heshima ya mwisho kwa muasisi huyo wa TANU na baadae CCM.




Related

Uchaguzi Mkuu 2015 110424464509318164

Post a Comment

emo-but-icon

item