JK Afungua Baraza la Vijana wa CCM

 Mwenyekiti wa CCM Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amefungua rasmi vikao vya Baraza la vijana wa CCM Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya...


 Mwenyekiti wa CCM Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amefungua rasmi vikao vya Baraza la vijana wa CCM

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa


 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM


Wageni waalikwa kutoka nje ya Nchi (Diaspora)


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Dk. Emmanuel Nchimbi.


Mgombea Urais kwa tiketi ya |CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM na kuwaambia kuwa atashirikiana nao vizuri.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akihutubia Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM



Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa NEC Vijana mara baada ya kufungua na kumaliza kuhutubia Baraza la Vijana wa CCM.

Related

Kitaifa 2703260189514977324

Post a Comment

emo-but-icon

item