DK Slaa Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo saa Saba Mchana
Dk slaa Dk Slaa katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari Maneno ya mtangazaji msoma habari wa StarTV yanasema >>> ‘Dr Sla...
http://taarifayahabari360.blogspot.com/2015/08/dk-slaa-kufanya-mkutano-na-waandishi-wa.html
Dk slaa
Maneno ya mtangazaji msoma habari wa StarTV yanasema >>> ‘Dr Slaa amekua pembeni katika harakati za kisiasa lakini September 1 2015 atavunja ukimya huo kwa kuzungumza na vyombo vya habari Dar es salaam kuanzia saa saba mchana, mkutano huo utarushwa moja kwa moja ‘
![]() |
| Dk Slaa katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari |
Angalia video hapo chini
