Chelsea Majanga ,Arsenal Yashinda:Angalia wafungaji na picha za mechi hizo

Ligi kuu ya England imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Etihad na Selhurst Park. Olivier Giroud Akishagilia baada ...

Ligi kuu ya England imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Etihad na Selhurst Park.
Olivier Giroud Akishagilia baada ya Kufunga



Katika mchezo wa kwanza Arsenal walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace
Arsenal walianza kuandika bao lao la kwanza dakika ya 16 liliwekwa kimiani na mshambuliaji Olivier Giroud.

Crystal Palace wakasawazisha bao hilo kupitia kwa mlinzi wake Joel Ward.
Bao la kujifunga la beki Damien Delaney likawapa ushindi Arsenal .


Sergio Aguero Akishangiria Baada ya Kufunga

Vincent Kompany Akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza
Kipa wa Chelsea akitazama mpira Unavyoingia wavuni

Katika mchezo wa pili Chelsea walikubali kichapo cha mabao 3-0 toka kwa Manchester City
Magoli ya City yakifungwa na mshambuliaji Sergio Aguero, Vincent Kompany na Mbrazil Fernandinho akahitimisha kwa ushindi kwa bao la tatu kwa mkwaju mkali uliomshinda mlinda mlango wa Man City Joe Hart.


Related

Michezo 8663610214675327625

Post a Comment

emo-but-icon

item